Wajumbe wa Kamati ya kuratibu maonesho ya Biashara za Tanzania nchini Mozambique, kutoka kulia ni Bw. Raphael Msukuma - Mjumbe wa Kamati, Bakari Njama - Mjumbe wa Kamati, Balozi wa Heshima nchini Eswatini Bw. Joseph Ndallahwa - Makamu Mwenyekiti, Bw. Nelson Nkini – Mwenyekiti wa Kamati, Bw. Allen Sawaya – Makamu Mwenyekiti, Sister AnneRitha Buretta – Mjumbe wa Kamati.