Taarifa ya hali ya biashara kati ya Tanzania na Mozambique kwa kipindi cha toka Mwaka 2014 hadi 2018, taarifa hii ni ya bidhaa zilizo rasmi hata hivyo kiwango cha biashara kitakuwa na kuimarika zaidi katika kipindi cha mwaka huu wa 2019.
Tathmini ya biashara za bidhaa za Mozambique na Tanzania, 2014 – 2018 (USD MILLIONS)
SN | MAELEZO | 2014 | 2015 | 2016 | 2017 | 2018 |
1. | Usafirishaji wa bidhaa | 31.2 | 13.0 | 8.2 | 10.8 | 24.1 |
2. | Uingizaji wa bidhaa | 25.5 | 12.4 | 6.1 | 4.5 | 7.9 |
3. | Tathmini ya biashara za bidhaa | 5.7 | 0.6 | 2.1 | 6.3 | 16.2 |
Bidhaa kuu zinazosafirishwa
Sukari na kiazi sukari, Pure Sucrose and molasses, Waya za alumini, Mbao, Simenti, Crustaceans, Mafuta ya nazi, mawese na mabaki yake, Mchanga wa asili wa aina yoyote, Magari ya kusafirishia Bidhaa, Malt, Bulldozers, Angledozers, Graders, Analougeus,, Mahindi, Samaki wabichi na wakavu, Sulfate and carbonate of natural barium, straightened longitudinally, Vipande na mabaki ya vioo, Construction of its parts of iron and steel, Mashine za mitambo zenye kazi mbalimbali, Petroleum oil and its derivatives, Matrekta mbali na yale yanayotumika katika bandari na ghala, Jiwe la pumice, Esmeril, natural corundum and garnet, Matunda halisi mbalimbali, Tambi zilizopikwa au kutiwa viungo, Tumbaku asili na taka zake, Umeme, Maharage ya kijani makavu, Unga wa ngano au mchanganyiko wa ngano, Bia, Bidhaa za kielectroniki, refills na Wigs.
Bidhaa kuu zinazoingizwa
Vitambaa vyenye 85% ya pamba na uzito wa <200/g, Iron / steel veneer rolled products, Mashine za kusafisha na kuchagua au kupeta, Mbolea ya madini au kemikali, Nitrojeni, Chombo cha kupimia na kudhibiti kiwango cha mtiririko, Motors, Jenereta za umeme zinazotumia umeme mdogo, Sigara na vinavyofanania na tumbaku, Mboga za aliacea safi na zilizoekwa kwenye jokofu, Dawa katika dozi kwa uuzaji wa rejareja, sabuni, organic preparations tensoactive, nyama ya ng'ombe iliyohifadhiwa kwa barafu, mafuta ya petroleum au ya madini ya bitumini (bituminous minerals), Huduma ya meza na vifaa vya majumbani vya plastiki, Mchele, Juisi za matunda, mboga ambazo haziahifadhiwa na madawa, maji safi/ya madini na yenye kaboni ya asili na sukari(soda), chumvi safi, sodium chloride, Rangi za kuta, Varnish inayotokana na polymer, Bidhaa za urembo, Mishumaa, Utambi (wicks), Tapers, na vinginevyo sawa na hivyo.
Kampuni za usafirishaji
M M Integrated steel milis Moz LTD; Estim Conctruction Mozambique, LDA; Movitel, Sa, Mitchell Drilling Mozambique, LDA;N Bme Moçambique, LDA; Shafa Costru,ES, E.T, LDA; Halliburton International, INC; Prime Care Industries, LDA; Mar Azul Importação Exportação, LDA; Ever Green LDA; China Road And Bridge Corporation; Compagnie D Operation Petrolieres Schlumberger, C J Precios Gems Sociedade Unipessoal LDA; Aggreko Moçambique Limitada; Maning Nice; Murrimo Macadamias, LDA; China Harbour Engeneering Company LDA; MIDAL CABLES INTERNATIONAL, LDA, Geosystems Instrumentos De Medicacao, LDA; Lake Oil LDA; Michael Imports And Exports Iniciativses, LDA; Mcc Comercio Sociedade Unipessoal LDA; Issa Mariscos Investimento; Apopo- Detecção De Minas.