News and Events Change View → Listing

Naibu Spika Mhe. Daniel Baran Sillo aongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mikutano ya OACPS na AEPA unaofanyika nchini Ufalme wa Eswatini

Mhe. Daniel Baran Sillo (Mb.), Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibian na Pasifiki (OACPS) kwa ngazi ya…

Read More

Balozi wa Tanzania Afanya Mazungumzo na Balozi wa Uswizi Nchini Msumbiji

Tarehe 31 Machi 2026, Mhe. CP. Hamad K. Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, alikutana na Mhe. Nicolas Randin, Balozi wa Uswizi, katika Ofisi ya Ubalozi jijini Maputo.Kikao hiki…

Read More

Serikali ya Tanzania imekabidhi tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Msumbiji

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha.Msaada huo…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe CP Hamad Khamis Hamad atembelea Jimbo la Sofala

Tarehe 11 Machi, 2026 Mjini Beira Jimbo la Sofala, Msumbiji, kilifanyika kikao baina ya Gavana wa Jimbo la Sofala, Mhe Lourenço Bulha na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. CP.…

Read More

Mhe. CP. Hamad K. Hamad atembembelea Jimbo la Nampula

Tarehe 5 Machi 2026, Mhe. CP.  Hamad K. Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, amefanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Nampula.Lengo la ziara hiyo ni kufanya majadiliano ya…

Read More

Mheshimiwa Balozi ahudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Biashara wa Umoja wa Afrika Jijini Maputo

Tarehe 25-26 Februari, 2026, jijini Maputo, Msumbiji, Mheshimiwa CP. Hamadi Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji ameiwakilisha Tanzania kwenye Mkutano wa Biashara wa Umoja wa…

Read More

Mkutano wa Kitaifa wa Mabadiliko ya Kidigitali nchini Msumbiji

Tarehe 11 na 12 Februari, 2026, Mhe. Hamad K. Hamad, Balozi wa Tanzania nchini alihudhuria Mkutano wa Kitaifa wa Mabadiliko ya Kidigitali nchini Msumbiji. Mkutano huo uliandaliwa na Wizara ya Mawasiliano na…

Read More

Balozi Hamad ashiriki katika maadhimisho ya siku ya mashujaa nchini Msumbiji

Mhe. CP. Hamad K. Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, ameungana na Mabalozi wengine na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Msumbiji katika maadhimisho ya siku ya Mashujaa nchini…

Read More