News and Resources Change View → Listing

TANZANIA DAY YAFANA KATIKA MAONESHO YA FACIM 2026 – MAPUTO, MSUMBIJI

Sambamba na ushiriki wa Tanzania katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Maputo (FACIM 2026), Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara…

Read More

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA 61 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA MAPUTO – FACIM 2026

anzania imeshiriki Maonesho ya 61 ya Biashara yaKimataifa ya Maputo (FACIM 2026), yanayofanyika katikaeneo la Ricatla, Maputo, Msumbiji, katika kipindi ambachoTanzania na Msumbiji zinaendelea kuimarisha…

Read More

Balozi Hamad awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Mswati III

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ufalme wa Eswatini mwenye makazi yake nchini Msumbiji, Mhe. CP. Hamad Khamis Hamad, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Mswati III katika…

Read More

Tanzania’s Ambassador-Designate to the Kingdom of Eswatini presents copies of Letters of Credence to Eswatini’s Minister of Foreign Affairs

The Ambassador-Designate of the United Republic of Tanzania to the Kingdom of Eswatini, with residence in Maputo, Mozambique, H.E. CP. Hamad Khamis Hamad, on 6 August 2026, presented Copies of his Letters of…

Read More

Tanzania na Msumbiji kushirikiana katika Sekta ya Afya

Mhe. CP. Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, ametembelea Hospitali ya Mkoa wa Cabo Delgado nchini Msumbiji. Ziara hiyo ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano…

Read More

Tanzania, Msumbiji na Malawi kushirikiana katika Usimamizi Endelevu wa Bonde la Mto Ruvuma

Mhe. CP. Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, ameshiriki katika hafla ya utiaji saini wa Mkataba wa Utekelezaji wa Mradi wa Usimamizi Jumuishi wa Bonde la Mto Ruvuma…

Read More

Naibu Spika Mhe. Daniel Baran Sillo aongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mikutano ya OACPS na AEPA unaofanyika nchini Ufalme wa Eswatini

Mhe. Daniel Baran Sillo (Mb.), Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibian na Pasifiki (OACPS) kwa ngazi ya…

Read More

Balozi wa Tanzania Afanya Mazungumzo na Balozi wa Uswizi Nchini Msumbiji

Tarehe 31 Machi 2026, Mhe. CP. Hamad K. Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, alikutana na Mhe. Nicolas Randin, Balozi wa Uswizi, katika Ofisi ya Ubalozi jijini Maputo.Kikao hiki…

Read More