Mhe. CP Hamad K. Hamad, Balozi wa Tanzania - Msumbiji, amekutana na Balozi wa Morocco, Mhe. Abdelali Rahali.

Mbali ya Mhe. Balozi Hamad kujitambulisha, alikubaliana na Mhe. Balozi Rahali kufanya naye kazi kwa ukaribu kwa maslahi ya Tanzania na Morocco.