Recent News and Updates

Mhe. CP. Hamad K. Hamad, akutana na Mhe. Joaquim A. Chissano

Tarehe 15 Septemba 2025, Mhe. Hamad K. Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji alikutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Joaquim A. Chissano, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Msumbiji.Lengo la Mazungumzo hayo ni… Read More

Makamu wa Rais ashiriki Mkutano wa 45 wa SADC nchini Madagascar

Tarehe 17 Agosti 2025 Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameshiriki Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali ambao ni Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)… Read More

Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji waadhimisha siku ya Kiswahili Duniani tarehe 7 Julai 2025

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji uliadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani tarehe 7 Julai 2025. Tukio hilo lilihudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo wanadiplomasia, viongozi wa Serikali ya Msumbiji, walimu… Read More

Mhe. Balozi CP Hamad Khamis Hamad amekutana na Bi. Linah Clifford, Afisa wa Masuala ya Kisheria na Ushirikiano na Bw. Allan Mashalla

Mhe. Balozi CP Hamad Khamis Hamad amekutana na Bi. Linah Clifford, Afisa wa Masuala ya Kisheria na Ushirikiano na Bw. Allan Mashalla - Meneja wa Mradikutoka Shirika la Kimataifa la TRAFFIC International Afrika Mashariki (TZ)… Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in Mozambique

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in Mozambique